Habari kutoka 26 Februari 2017
Unaweza kupendekeza Washindani wa Tuzo za Blogu Kenya 2017
Tuzo za Blogu Kenya sasa zinapokea mapendekezo kwa ajili ya shindano la mwaka huu. Mapendekezo yanakaribishwa mpaka Machi 10. Wanablogu na mashabiki wanaweza kutuma mapendelezo yao kwa makundi mbalimbali ya ushindani.