Habari kutoka 22 Novemba 2016
Upendo Unashinda Chuki: Kipindi cha Yaliyojiri Wiki Hii Hapa Global Voices
Wiki hii, tunaanzia Marekani ambapo Omar Mohammed anaelezea msemo wake, "Marekani niliyozoea kukupenda" na kisha kukupeleka Cuba, Syria, na Taiwani.