Habari kutoka 6 Oktoba 2016
Nchini Tanzania, Kusema Msimamo Wako wa Kisiasa Mitandaoni Inazidi Kuwa Hatari

Tangu Rais John Magufuli ashinde uchaguzi wa Rais mwezi Oktoba 2015, watu 14 wameshakamatwa na kupandishwa kizimbani kwa kutumia mitandao ya kijamii kumtukana Rais
Matangazo ya ‘Kwa Kina': Kura ya Hapana kwa Amani ya Colombia
Wiki hii, tunakuletea habari za kina kuhusu sababu ya raia wa Colombia kupiga kura ya hapana kupinga mkataba wa amani ambao ungemaliza vita vilivyodumu kwa zaidi ya miaka 50.