Habari kutoka 16 Agosti 2016
Serikali ya Ethiopia Yaua Waandamanaji Wapatao 100 Mwishoni mwa Juma Lililopita
Wakati mamia ya wandamanaji wameingia mitaani mwisho wa wiki hii kwenye majimbo ya Oromia na Amhara, vikosi vya usalama vimetumia nguvu kubwa kuwatawanya waandamanaji kwa risasi za moto. Kuna taarifa kwamba waandamanaji wapato 100 wameuawa.