Habari kutoka 31 Julai 2016
Hiyo Ndiyo Sababu ya Google Kubadili Majina ya Baadhi ya Miji ya Crimea—na Sasa Inarudisha Majina ya Awali
Kama vile ni miujiza, Google ilibadili ghafla baadhi ya majina ya miji kwenye pwani ya Crimea —kwa kutumia huduma yake ya Ramani za Google
Picha za Kale Zarejesha Kumbukumbu Nzuri za Mji Mkuu wa Dhaka nchini Bangladesh
"Hapo ndipo nilipokulia hadi nilipokuwa kijana na ninajaribu kupata hisia ya namna siku hizo zilivyokuwa nzuri. Hizo zilikuwa siku njema sana kwa jiji langu pendwa la Dacca na siyo Dhaka."