Habari kutoka 28 Julai 2016
Shule Moja Nchini Timor-Lesté Kuwapiga Faini Wanafunzi Wanatakaoongea Lugha Rasmi ya Wenyeji
Wanafunzi ni lazima waongee Kireno wawapo shuleni. Wale ambao "hawataweza kuongea lugha hiyo" watalazimika kukaa kimya. Atakayekamatwa akizungumza lugha tofauti na Kireno "atapigwa faini".
Wananchi wa Uganda Wanataka Serikali Isaidie Kunusuru Shule, Sio Matajiri
Kubinafsisha faida na kuchangia hasara. Lazima wote tuchangie hasara ya biashara za matajiri lakini lini tulichangia faida wanayopata?