Habari kutoka 29 Juni 2016
Raia Mwingine wa Tanzania Asomewa Mashtaka kwa Ujumbe wa Whatsapp ‘Unaomtukana’ Rais
Mulokozi ni mhanga mwingine wa Sheria ya Makosa ya Jinai nchini Tanzania, inayojaribu kukabiliana na masuala kama picha za ngono kwa watoto, udhalilishaji wa mtandao, matumizi mabaya ya taarifa binafsi za watu na kuchapisha taarifa za uongo.
Wa-Belarusi Waamua Kuchapa Kazi Wakiwa Uchi (Kutii Wito wa Rais)
Watumiaji wa mtandao nchini Belarusi wamekuwa wakivua nguo wakiwa makazini, baada ya kusikiliza hotuba ya Rais Lukashenka.