- Global Voices in Swahili - https://sw.globalvoices.org -

Matangazo ya Sauti ya ‘Wiki Ilivyokwenda’ Global Voices: Waliopotea

Mada za Habari: Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara, Amerika Kusini, Asia ya Kusini, Ulaya Mashariki na Kati, Bangladesh, Ecuado, Pakistan, Uganda, Ukraine, Censorship, Fasihi, Habari za Wafanyakazi, Haki za Binadamu, Maandamano, Uandishi wa Habari za Kiraia, Vyombo na Uandishi wa Habari, Podikasti za Global Voices

Matangazo ya sauti ya ‘Wiki Ilivyokwenda'yanaangazia baadhi ya habari ambazo tumezichapisha kwenye Global Voices.

Wiki hii, tunakuchua mpaka Ecuador, Uganda, Bangladesh na Ukraine. Tutaongea na mhariri wetu wa Pakistan Sana Saleem kuhusu Zeenat Shahzadi, mwandishi asiyejulikana alipo kwa kipindi cha miezi tisa.

Shukrani nyingi kwa wandishi, watafsiri na wahariri waliofanikisha haya. Kipindi hiki kimesheheni habari zilizoandikwa na Juan Arellano [1]James Propa [2]Pantha Rahman Reza [3]Aric Toler na Tetyana Lokot [4], na Sana Saleem [5].

Tunakuletea burudani ya muziki wenye leseni ya Creative Commons kutoka kwenye maktaba ya muziki ya Free Music, pamoja na Please Listen Carefully wa Jahzaar [6]; Orange Juicier wa Podington Bear [7]Analog wa Jon Luc Hefferman [8]; Giga Lounge wa Gigaboy [9]; Dancing on the Edge wa Kai Engel [10]; and WTS wa Cory Gray [11].

Tarajia kusikia sauti zetu tena baada ya majuma mawili. Usikilizaji mwema!

Picha kwenye alama ya SoundCloud imetoka Wikimedia Commons/UTR News, CC BY 3.0, na Luis Prado/mradi wa Noun, imehaririwa naTetyana Lokot.