Habari kutoka 28 Septemba 2015
Kilichotokea Mbwa ‘Mjamzito’ Alipozikwa Hai huko Voronezh
Serikali ya mtaa iliposhindwa kujibu ombi la msaada, watu kadhaa waliamua kujichukulia hatua, kuondoa matofali na kuchimba kumwokoa mbwa huyo aliyekuwa amebanwa.