Habari kutoka Juni, 2015
5 Juni 2015
Muda Gani Umebaki kwa ‘Marais wa Maisha’ Barani Afrika?
Matukio nchini Burundi na nchi nyinine kama Kongo (DRC), Burkina Faso na Rwanda yameendeleza mjadala wa muda mrefu barani Afrika kuhusu ukomo wa madaraka
4 Juni 2015
Kampeni ya Kujipiga Picha Yaongeza Uvumilivu wa Kidini na Kupunguza Ukabila Nchini Myanmar
"Yeye ni Msikh na mie Mwislamu. Lakini tu marafiki. Ingawa tuna tofauti zetu, bado tunaweza kuzungumzia mitazamo na imani zetu, na kuzikubali na kuziheshimu tofauti...
Msemo Wa Blogu ya Zelalem Kiberet: ‘Uache Uhuru Uvume’

Kutokana na upeo wake mkubwa, uandishhi wake wa busara na uchambuzi usiotetereka wa masuala ya dini, marafiki zake walimpatia Zelalem jina la utani la Zola...