Habari kutoka 4 Juni 2015
Kampeni ya Kujipiga Picha Yaongeza Uvumilivu wa Kidini na Kupunguza Ukabila Nchini Myanmar
"Yeye ni Msikh na mie Mwislamu. Lakini tu marafiki. Ingawa tuna tofauti zetu, bado tunaweza kuzungumzia mitazamo na imani zetu, na kuzikubali na kuziheshimu tofauti zetu."
Kuhusu Uamuzi wa Mahakama wa Haki ya Kusaidiwa Kufa Nchini Afrika Kusini
Profesa Pierre de Vos anaingia rasmi kwenye mjadala mkali kuhusu uwezekano wa kumsaidia mtu kufa nchini Afrika Kusini baada ya Mahakama Kuu nchini humo kuamua kwamba mtu anayekufa ana haki...
Msemo Wa Blogu ya Zelalem Kiberet: ‘Uache Uhuru Uvume’

Kutokana na upeo wake mkubwa, uandishhi wake wa busara na uchambuzi usiotetereka wa masuala ya dini, marafiki zake walimpatia Zelalem jina la utani la Zola lililotokana na mwandishi maarufu wa Kifaransa, Zola.