Habari kutoka 20 Mei 2015
Mwanablogu wa Ethiopia, Atnaf Berahane: Kijana Anayejiamini, Aliye Gerezani

Ndoto ya uhuru wa kujieleza ya mwanablogu huyu mwenye umri wa miaka 26 imemplelekea kupokonywa uhuru wake.
Tunayoyajua na Tusiyoyajua Baada ya Jaribio la Mapinduzi Nchini Burundi
Celebration and jubilation near Presidential offices in Bujumbura after the overthrow of Nkurunziza. #BurundiCoup pic.twitter.com/WhJzXKfS69 — Robert ALAI (@RobertAlai) May 13, 2015 Shangwe na vifijo karibu na ikulu ya Rais...