Habari kutoka 22 Aprili 2015
Kulinda Taarifa Binafsi Nchini Ajentina Bado Kuna Safari Ndefu
Kwenye makala iliyoandikwa kwa ajili ya gazeti la mtandaoni Haki za Kidijitali: Amerika Kusini & Visiwa vya Caribbean, No.21, Mmwanasheria wa ki-Ajentina Valeria Milanés anaeleza kwamba hata kama Marekani ni kiranja wa...
Nini Tofauti ya Kusoma na Kuelimika?
Pedro Muller anatafakari kuhusu matatizo yanayoukabili mfumo wa shule, taasisi anayosema ilimaanisha mazingira tofauti ya kihistoria. Kwa kusema hayo, anabainisha umuhimu wa dhana hizi mbili zinazofanana lakini zikimaanisha nyakati mbili...
Misri Yamhukumu Rais wa Zamani Morsi Miaka 20 Jela kwa “Utishaji na Matumizi ya Nguvu” Dhidi ya Waandamanaji
Misri imemhukumu rais wake wa kwanza kuchaguliwa kidemokrasia Mohammed Morsi kifungo cha miaka 20 jela leo, bada ya kukuta na hatia ya "utishaji na matumizi ya nguvu kupita kiasi" kwa waandamanaji mwaka 2012.