- Global Voices in Swahili - https://sw.globalvoices.org -

Makampuni ya Teknolojia Nchini Kenya Yaliyofadhiliwa Mwaka 2014

Mada za Habari: Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara, Kenya, Teknolojia, Uandishi wa Habari za Kiraia, Uchumi na Biashara

Je, unayajua makampuni ya teknolojia nchini Kenya yaliyopata ufadhili kwa mwaka 2014? Erik Hersmann anayaorodhesha kwenye blogu yake [1]:

Fedha za mtaji wa awali

Angani – Huduma za mtandao wa umma wa kompyuta
BRCK – Huduma za mtandao wa Si-Waya za WiFi
CardPlanet – Mfumo wa malipo kwa njia ya simu za mkononi unaolenga biashara na AZISE
iProcure – Zana za kuongeza upatikanaji wa huduma vijijini
OkHi – Mfumo wa anuani za makazi kwa masuala ya manunuzi
Sendy – Huduma za pikipiki
Tumakaro – Mfuko wa elimu unaoendeshwa na raia waishio ughaibuni
Umati Capital – Huduma za vyama vya ushirika, wafanyabiashara na shughuli za viwanda
GoFinance – Mtaji kwa fedha za wasambazaji wa FMCG
BuyMore – Kadi ya punguzo ya elekroniki kwa wanafunzi
TotoHealth – Teknolojia ya ujumbe mfupi wa maandishi kwa afya ya watoto
BitPesa – Huduma ya malipo kwa ajili ya Waafrika