- Global Voices in Swahili - https://sw.globalvoices.org -

Msichana Achora Ramani ya Palestina kwa Kutumia Risasi za Israeli Alizokusanya Karibu na Nyumbani Kwao

Mada za Habari: Mashariki ya Kati na Afrika Kaskazini, Israel, Palestina, Uandishi wa Habari za Kiraia, Vita na Migogoro
A Palestinian girls draws the map of Palestine using Israeli bullets. Photograph shared by @Palestinianism on Twitter [1]

Msichana wa ki-Palestina achora ramani ya Palestina kwa kutumia maganda ya risasi za Israeli. Picha imetumwa na @Palestinianism [1] kwenye mtandao wa Twita

Picha hii inazunguka sana kwenye mitandao ya kijamii leo. Kwa mujibu wa Palestinianism, mwenye wafuasi 21,800 kwenye mtandao wa Twita:

Msichana huyu wa ki-Palestina amekusanya maganda ya risasi za Waisraeli karibu na nyumbani kwao na kuyatumia kuchora ramani ya Palestina.

Palestinianism continues:

And adds:

There is no more information available about the identity of the girl, or where in Palestine she is from.