
Msichana wa ki-Palestina achora ramani ya Palestina kwa kutumia maganda ya risasi za Israeli. Picha imetumwa na @Palestinianism kwenye mtandao wa Twita
Picha hii inazunguka sana kwenye mitandao ya kijamii leo. Kwa mujibu wa Palestinianism, mwenye wafuasi 21,800 kwenye mtandao wa Twita:
This young Palestinian girl collected Israeli bullets from around her house and drew out the map of #Palestine. pic.twitter.com/l1Wg2lDlZC
— F. (@Palestinianism) February 8, 2015
Msichana huyu wa ki-Palestina amekusanya maganda ya risasi za Waisraeli karibu na nyumbani kwao na kuyatumia kuchora ramani ya Palestina.
Palestinianism continues:
I sometimes wonder what children her age will grow to be when they surrounded by Israeli tanks, bullets, grenades, rockets, bombs.
— F. (@Palestinianism) February 8, 2015
And adds:
Who is to blame if these children grow up with nothing but anger and hatred.
— F. (@Palestinianism) February 8, 2015
There is no more information available about the identity of the girl, or where in Palestine she is from.