- Global Voices in Swahili - https://sw.globalvoices.org -

Filamu: ‘Sanaa ya Ama Ata Aidoo’

Mada za Habari: Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara, Ghana, Fasihi, Filamu, Uandishi wa Habari za Kiraia, Wanawake na Jinsia

The Art of Ama Ata Aidoo [1] ni filamu iliyotayarishwa na mtayarishaji wa filamu Yaba Badoe:

The Art of Ama Ata Aidoo, inasaili mchango wa kisanii wa mmoja wa waandishi wanawake mashuhuri barani Afrika, anayeongoza kizazi hiki kwa kipaji kipya cha pekee.
Dokumentari hii inasaili safari ya ubunifu ya Ama Ata Aidoo ya miongo saba kuanzia enzi za Ghana inayotawaliwa na wakoloni, kupitia nyakati za uhuru, mpaka Afrika ya leo ambako ubunifu wa vipaji vya wanawake hauonekani kiwepesi.

The Art of Ama Ata Aidoo (Teaser) [1] from Big Heart Media [2] kwenye mtandao wa Vimeo [3].