Wanamuziki maarufu wa Rwanda King James, Miss Jojo, Riderman, Tom Close, and Urban Boyz walijiunga na mapambano dhidi ya utapiamlo nchini Rwanda kupitia video ya muziki kwenye mtandao wa YouTube [1]. Video hiyo pia inapatikana kwa maandishi ya Kiswahili [2].
Kupambana na Utapiamlo Nchini Rwanda Kupitia Muziki
· Imeandikwa na Ndesanjo Macha Imetafsiriwa na Joyce Maina
Mada za Habari: Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara, Rwanda, Afya, Chakula, Uandishi wa Habari za Kiraia