Habari kutoka 5 Novemba 2014
Shindano la Insha GV: Namna Gani Sera za Intaneti Zinaathiri Jamii Yako?
Mradi wa Global Voices Advox unakaribisha wanajumuiya na washirika wengine kutuma insha zinazoeleza madhara ya sera za Intaneti katika jamii za mahali mbalimbali duniani.
Siasa za Afya ya Rais Nchini Zambia
Ajong Mbapndah wa Pan African Vision anazungumza na Gershom Ndhlovu kuhusu siasa zinazozunguka ugonjwa na kifo cha Rais wa Zambia Michael Sata: Rais Michael Sata siku za hivi karibuni amefariki dunia jijini London na inaonekana afya yake na huduma za tiba alizopatiwa ziligobikwa na usiri, kwa nini wananchi wa Zambia...