Septemba, 2014

Habari kutoka Septemba, 2014

Vyombo vya Habari Vyaususia Wimbo wa Kupigania Uhuru Ulioimbwa na Msanii Maarufu Nchini Macedonia

Msanii maarufu wa Macedonia wa miondoko ya kufoka foka amejikuta akipoteza umaarufu baada ya kuachia ‘kibao’ kinachojadili masuala ya uhuru wa habari nchini Macedonia.

Serikali ya Marekani Yadai Takwimu za Shirika la Indymedia Athens

Filamu Yaonesha Namna Kabila Dogo Linavyojaribu Kuwazuia Wakata Misitu Kuharibu Mazingira

Bendi Kutoka Ukraine Yatikisa You Tube kwa Video ya Muziki Ionekanayo katika Mfululizo wa Vifaa Vingi vya Apple

Kampuni ndogo ya kujitegemea ya utayarishaji wa muziki wa mahadhi ya dansi nchini Ukraine imekonga nyoyo za watumiaji wa You Tube pamoja na wale wa...

Kimbia! Waislamu Wanakuja!

Mtazamo wa vyombo vikuu vya habari mara nyingi unaonesha “Waislamu” wenye sura moja kubwa, ambayo haikosi kuwa na ghasia. Kwenye kichekesho hiki kisicho na maana...

Ebola Haijafika Gambia, na Watu Wanashughulika Kuhakikisha Hali Inabaki Kuwa Hivyo

Watu 1,600 wamepoteza maisha tangu kulipuka kwa maradhi ya Ebola. Nchini Gambia, kampeni inaendelea kwenye mitandao ya kijamii pamoja na wimbo maalumu wa kujaribu kuelimisha...

Uchafu Kutoka Viwandani Waua Mamia ya Ndege wa Porini Nchini Mongolia

Ushiriki Mkubwa wa Umma katika Mafunzo ya Tetemeko la Ardhi Nchini Mexico

Uhuru wa Vyombo vya Habari nchini Liberia Wawekwa Shakani Kufuatia Vita Dhidi ya Ebola

Maktaba ya Digitali ya Tiba Asilia Nchini Ufilipino