- Global Voices in Swahili - https://sw.globalvoices.org -

Majadiliano na Picha za Mkutano wa Highway Africa 2014

Mada za Habari: Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara, Afrika Kusini, Teknolojia, Uandishi wa Habari za Kiraia, Vyombo na Uandishi wa Habari

Mkutano wa Highway Africa 2014 [1] ulifanyika kuanzia tarehe 7-8 Septemba, 2014 kwenye Chuo Kikuu cha Rhodes, Grahamstown, Afrika Kusini. Maudhui ya mkutano huo yalikuwa Mitandao ya Kijamii -kutoka pembezoni kwenda kwenda kwenye vyombo vikuu vy habari. Angalia picha na mzungumzo kuhusiana na mkutano huo hapa [2].