- Global Voices in Swahili - https://sw.globalvoices.org -

Je Kulikuwa na Jaribio la Mapinduzi Nchini Lesotho?

Mada za Habari: Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara, Lesotho, Siasa, Uandishi wa Habari za Kiraia, Vita na Migogoro

Sikiliza [1] sauti inayoelezea kile hasa kinachoendelea nchini Lesotho kufuatia madai ya mapinduzi ya kijeshi:

Waziri mkuu amekimbilia nchini Afrika Kusini na anasema ni mapinduzi ya kijeshi. Jeshi la Lesotho linasema sio mapinduzi. Siasa zinazua utata. African Defence Review inazungumza na KRISTEN VAN SCHIE wa SADC na mwandishi DARREN OLIVIER kuuliza ni nini hasa kinachoendelea, na ni kiasi gani kulingana na zamani?