- Global Voices in Swahili - https://sw.globalvoices.org -

Habari Mpya za Mgogoro wa Kisiasa Lesotho Kupitia Twita

Mada za Habari: Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara, Lesotho, Siasa, Uandishi wa Habari za Kiraia

Mfuatilie @nthakoana [1] (Nthakoana Ngatane) kupata habari mpya zinazohusu mgogoro wa kisiasa nchini Lesotho. Nthakoana Ngatane ni mwandishi, msemaji, mwimbajii, mwigizaji na mwakilishi wa SHirika la Habari la Utangazaji la Afrika Kusini nchini Lesotho.

Mnamo tarehe 30 Agosti 2014, Waziri Mkuu wa Lesotho Tom Thabane alidai [2] kulikuwa na jaribio la kumpindua kijeshi dhidi yake. Baade ilimbidi kwenda Afrika Kusini akihofia kupoteza maisha yake.