Habari kutoka 29 Septemba 2014
Polisi wa Hong Kong Wawapiga Mabomu ya Machozi Waandamanaji Wanaodai Demokrasia
Polisi walipambana na waandamanaji baada ya maandamano ya kukaa katikati ya jiji la Hong Kong kudai uchaguzi wa demekrasia halisi.
Tafakari ya Suala la Kuoa Nje ya Tabaka lako Nchini India
Karthik Shashidhar, mshauri huru wa utawala na mwanasayansi wa takwimu, anaonesha takwimu kutoka kwenye utafiti wa kitaifa wa Afya ya Familia. Shashidhar anajadili idadi ya wanawake nchini India ambao wameolewa na...
Kuhoji Kimya cha Vyombo vya Habari Siku za Wikiendi Kuhusu Habari za Ebola
“Ni lini Habari za Ebola zitatangazwa kwa masaa 24 siku saba za wiki?,” anauliza Profesa Crawford Kilian wa Marekani na Kanada: Nimezoea kusikia habari mpya zikisitishwa kutangazwa nyakati za wikiendi....
Video ya Kuonesha namna Mlima Ontake Ulivyolipuka
Mtu mmoja amethibitika kufa, wakati wengine wapatao hamsini wakiwa wamejeruhiwa vibaya, na wengine kumi hawajulikani walipo baada ya Mlima Ontake, ulio maarufu kwa ukweaji mlima, katikati ya Japani, kulipuka