Habari kutoka 22 Septemba 2014
Ushiriki Mkubwa wa Umma katika Mafunzo ya Tetemeko la Ardhi Nchini Mexico
Mnamo Septemba 19, 1985, kwenye maeneo ya kati, Kusini na Magharibi mwa Mexico, hususani kwenye Wilaya ya Shirikisho, yalikumbwa na tetemeko kubwa, linalosemekana kuwa baya zaidi katika historia ya Mexico...
Uhuru wa Vyombo vya Habari nchini Liberia Wawekwa Shakani Kufuatia Vita Dhidi ya Ebola
Umoja wa wanahabari wa Liberia wasikitishwa na hali ya kukosekana kwa uhuru wa upashanaji habari kufuatia hatua ya serikali ya kuzuia kuenea kwa virusi vya ebola. Umoja huu ulimwandikia barua...
Maktaba ya Digitali ya Tiba Asilia Nchini Ufilipino
Ikiwa imeanzishwa na mamlaka kadhaa za kiserikali, Maktaba Dijitali ya Elimu ya Tiba za Jadi Ufilipino (TKDL-Health) inalenga kuweka kumbukumbu na kufanya masuala ya tiba za jadi kuwa za kidijitali...
CPJ Yamtaka Obama Kulinda Haki ya Kutangaza Habari kwenye Enzi za Dijitali

Wakati serikali zaidi duniani zikizidi kuwalenga waandishi wa habari kwa udukuzi, Kamati ya Kuwalinda Waandishi inaitaka Serikali ya Obama kujisafisha