- Global Voices in Swahili - https://sw.globalvoices.org -

Udhalilishaji wa Kijinsia wa Watoto Wanaotalii Asia ya Mashariki

Mada za Habari: Asia Mashariki, Kambodia, Laos, Thailand, Vietnam, Safari, Sheria, Uandishi wa Habari za Kiraia, Utawala, Vijana

Mradi wa Nguzo ya Kuokoa Utoto, uliobuniwa na serikali ya Australia, umezinduautafiti [1]ukosefu wa msaada wa kijamii, elimu, furasa na ulinzi” kwa kuendelea kwa vitendo vya kuwadhalilisha watoto. Utafiti huo pia umeonyesha namna kusafiri na utalii “ni hatari nyingine inayochangia shida za kudhalilishwa zinazowakumba watoto.” Utafiti huo ulihusisha nchi za Thailand, Kambodia, Laos na Vietnam.