Blogu ya ICT Pulse inapitia [1] taarifa iliyochapishwa hivi karibuni iliyoandaliwa na Tume ya Umoja wa Mataifa ya Haki za Binadamu juu ya haki ya faragha katika enzi hizi za dijitali.
Trinidad & Tobago: Je, Kuishi kwenye Enzi za Kidijitali Kunahatarisha Haki yako ya Faragha??
· Imeandikwa na Janine Mendes-Franco Imetafsiriwa na Mghosya
Mada za Habari: Nchi za Caribiani, Trinidad na Tobago, Siasa, Teknolojia, Uandishi wa Habari za Kiraia