Habari kutoka 29 Julai 2014
Alama ya Utambulisho wa Kompyuta ya Serikali ya Urusi Yakamatwa Ikihariri Makala ya Wikipedia ya Ndege ya MH17

Alama kadhaa za utambulisho wa kompyuta (IP address) ndani ya serikali ya Urusi zimeendelea kufanya kazi kazi kwenye kamusi elezo ya Wikipedia, ambapo kompyuta ya Shirika la Upelelezi la Urusi,...
Highway Africa 2014 Yasogeza Mbele Tarehe ya Mwisho ya Kujiandikisha
Tarehe ya mwisho ya kujiandikisha kwa ajili ya Mkutano wa 18 wa mwaka wa Highway Africaimesogezwa mbele mpaka Ijumaa, Agosti 08 2014: Kutokana na kuongezeka kwa shauku ya watu kuhudhuria...
Sababu za Kusafiri Mara Moja Moja
Kwenye blogu yake iitwayo Historias de una mujer lobo (Hadithi ya mbwamwitu wa kike), Natalia Cartolini anatafakari kuhusu sababu za kwa nini kusafiri kunaweza kuwa na faida kama, kwa maoni...
Hotuba ya Ushindi ya Rais Mteule wa Indonesia
Rais mteule wa Indonesia Joko Widodo or Jokowi alitoa hotuba ya ushindi akitambua moyo wa kujitolea ulioonyeshwa na wananchi: Uchaguzi huu wa rais umechochea mtazamo mpya chanya kwetu, na kwa...
PICHA: Wapelestina Wanatufundisha Namna ya Kuishi
Mpalestina Sayel anatwiti kwa wafuasi wake 1,800 kwenye mtandao wa Twita picha ifuatayo ya wakazi wa Gaza wakipanda maua kwenye maganda ya silaha za Israeli. Anasema: Palestinians from the Gaza...