Habari kutoka 20 Julai 2014
Dunia Yasimama na Palestina: Maandamano Yafanyika Kila Bara
maandamano yamelipuka katika miji mbalimbali duniani kote kuwaunga mkono wa-Palestina na kutoa wito wa kumalizwa kwa mapigano. Hapa ni picha chache za maandamano hayo.
Dondoo 13 za Kulinda Taarifa zako Kwenye Kompyuta Zinazotumiwa na Watu Wengi
Kama uko mbioni kwenda kwenye mapumziko na unafikiri kuchukua kompyuta yako na kuiunganisha na mtandao wa intaneti wa Siwaya (Wi-Fi) au kutumia kompyuta ambazo zinapatikana kwenye hoteli au kwenye eneo...
Trinidad & Tobago: Je, Kuishi kwenye Enzi za Kidijitali Kunahatarisha Haki yako ya Faragha??
Blogu ya ICT Pulse inapitia taarifa iliyochapishwa hivi karibuni iliyoandaliwa na Tume ya Umoja wa Mataifa ya Haki za Binadamu juu ya haki ya faragha katika enzi hizi za dijitali.