Habari kutoka 13 Julai 2014
Wa-Indonesia Wawasha Mishumaa Elfu Moja Ishara ya Amani kwa Palestina
Raia wa Indonesia walikusanyika katikati ya Jakarta, mji mkuu wa nchi hiyo, kuwasha mishumaa 1,000 kupinga mashambulio ya Israel katika ukanda wa Gaza. Indonesia ni moja ya nchi maarufu zaidi...
Zaidi ya Habari za Kombe la Dunia: Machozi Brazil, Mabomu Bahrain na Majanga Qatar
Unapaswa kujua zaidi ya kandanda kuelewa mashindano ya Kombe la Dunia. Deji Olukotun anachambua kwa kina masuala ya uhuru wa maoni na haki za binadamu.
Ombi kwa Papa Francis Kuchukua Hatua Kupinga Madikteta wa Afrika
Une pétition en ligne adressée au Pape pour demander l'excommunication des dictateurs africains de l'Angola, de la Guinée Equatoriale, du Cameroun, du Congo et du Zimbabwe.
Wanawake wa Kichina Waandamana Kupinga Kombe la Dunia
Offbeat China alieleza kwa nini wanawake hao wana hasira na jinsi Kombe la Dunia linavyoharibu mahusiano ya kifamilia nchini China. Wanapinga mambo mawili makubwa: 1) wapenzi wao kupuuza majukumu yao...
Kuhusu Kuwa Kijana, Mweusi na Mgeni nchini Afrika Kusini
Leila Dee Dougan anaweka video ya muziki inayotoka kwenye toleo la hivi karibuni la msanii wa Afrika Kusini Umlilo: Umlilo (ambaye hapo awali aliandikwa kwenye tovuti ya Africa is a...
Haki za Mashoga Zaendelea Kudaiwa kwa Kasi Nchini Cuba
Maandamano ya pili ya "besada" ambapo watu hukaa na kubusiana, yalifanyika kupinga sheria mpya kazi nchini Cuba, inayoondoa utambulisho wa jinsia kuwa aina ya unyanyapaa kazini.