MISA-Swaziland anatwiti moja kwa moja [1] mwenendo wa mashitaka dhidi ya mwanasheria wa haki za binadamuThulani Maseko na mwandishi wa habari Bheki Makhubu bila ruhusa ya mahakama nchini Swaziland. Wawili hao walikamatwa [2] mnamo Machi 17, 2014.
Twiti za Moja kwa Moja za Kesi Dhidi ya Mwanasheria wa Haki za Binadamu na Mwandishi wa Habari Nchini Swaziland
· Imeandikwa na Ndesanjo Macha Imetafsiriwa na Mghosya
Mada za Habari: Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara, Swaziland, Haki za Binadamu, Sheria, Siasa, Uandishi wa Habari za Kiraia