- Global Voices in Swahili - https://sw.globalvoices.org -

Umuhimu wa Haki kwa Wanablogu wa Ethiopia

Mada za Habari: Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara, Ethiopia, Haki za Binadamu, Siasa, Uandishi wa Habari za Kiraia, Uhuru wa Kujieleza, Vyombo na Uandishi wa Habari

Justice Matters [1] ni blogu inayoripoti kuhusu kesi ya wanablogu wa Zone9 waliokamatwa na waandishi wa habari nchini Ethiopia kwa ajili ya kutoa maoni yao:

Blogu hii ina habari zaidi za hivi karibuni kuhusu jitihada za utetezi, ripoti za vyombo vya habari, na hadhi ya kisheria ya wanablogu wa Zone9 nchini Ethiopia. Imejitolea kutoa taarifa juu ya kesi ya wanablogu na waandishi wa habari wasio na hatia. Tunaamini katika nguvu sahihi na taarifa sahihi ya hali ya wanablogu kutoka eneo kamili.