- Global Voices in Swahili - https://sw.globalvoices.org -

Maneno Yasiyotafsirika Yafafanuliwa kwa Michoro

Mada za Habari: Lugha, Mawazo, Uandishi wa Habari za Kiraia

Tovuti ya Pijamasurf [1] [es] inazungumzia “orodha ya maneno 30 yasiyotafsirika” ambayo msanii mchunguzi Anjana Iyer [2] [en] alijaribu kuyachorea mchoro wenye kuchekesha kidogo. Kwa mfano:

Bakku- shan (Kijapani)
Msichana mzuri…almuradi tu anaangaliwa kutokea nyuma.

Unaweza kuipata orodha hiyo hapa [3].