- Global Voices in Swahili - https://sw.globalvoices.org -

Maandamano ya Kudai Haki ya Kubusu na Barua ya Haki za Mashoga Nchini Cuba

Mada za Habari: Amerika Kusini, Nchi za Caribiani, Cuba, Habari za Hivi Punde, Haki za Binadamu, Haki za Mashoga, Uandishi wa Habari za Kiraia
Foto Jorge Luis Baños, usada con permiso.

Picha imepigwa na Jorge Luis Baños, imetumiwa kwa ruhusa.

Kwenye “Maandamano ya Pili ya Kubusu au ‘Besada’ kama yanavyojulikana, kuhimiza Tofauti na Usawa” yaliyofanyika Havana, Cuba, kama “shinikizo la Mapinduzi ya Kubusu”, mabusu ambayo yanasemekana kuwa ni jitihada za kimapinduzi. Hata hivyo, tukio la pili la “Besada” linakuja wakati ambao kuna utata kuhusu kuondolewa [1] kwa kipengeele cha kusitisha ubaguzi wa utambulisho wa kimapenzi katika sheria mpya ya Kazi nchini humo.  

Mradi wa Rainbow Project au Proyecto Arcoiris [2], mradi wa kupinga ubepari na mradi wa uhuru, unaratibu shughuli nzima jijini Havana, Cuba, Juni 28, Siku ambayo inafahamika kama Fahari ya Mashoga na Wasagaji, kukukumbuka Ghasia za Hoteli ya Stonewall [3] jijini New York mwaka 1969, zilizobadili historia ya haki za mashoga na wasagaji.

Siku hiyo hiyo mwaka 2012, Arcoiris waliratibu tukio la kwanza la “Besada,” [4] na karibu watu 50 walihudhuria tukio hilo katika maeneo ya uwanja wa michezo wa Ramon Fonst, kwenye manispaa ya Plaza Havana. Safari hii maandamano yalifanyika Plaza Vieja, jengo lililopo kwenye mji huo mkuu.

Waratibu walieleza [5] nia hasa ya kukumbukumbu hiyo:

Besarse en el espacio público debería ser derecho de toda persona, pero para muchos ojos constituye escándalo público, si no ocurre entre heterosexuales. Al besarnos todos y todas, por amor o fraternidad, ejercitamos nuestra igualdad ciudadana y ponemos en evidencia los dobles raseros morales que generan la homofobia, el sexismo, las lógicas discriminatorias que marcan las raíces de nuestra cultura y debemos cambiar.

Kupigana busu hadharani lazima iwe haki ya kila mmoja, lakini wengi wanaona harakati hizo kama kashfa ya wazi wazi, hasa kama inatokea kati ya watu wa jinsia moja. Kama wanaume na wanawake wanapobusiana, iwe kwa mapenzi au kwa kufahamiana, wanafanya hivyo kututumia haki yao ya usawa kama raia na inakuwa ni kuonyesha ajabu kuona kuwa kufanya hivyo ni kukuza hisia woga na chuki kwa mashoga, hali za kimapenzi, na hisia za kibaguzi zinazokuwa mzizi wa utamaduni wetu na ambazo lazima tuzibadilishe.

Zaidi ya kuchapishwa kwenye blogu ya Arcoiris, ujumbe ulisambazwa kwenye tovuti kadhaa za intaneti, moja wapo ikiwa Cubainformacion.tv [6]. Zaidi, majarida kadhaa yanayochapishwa kwenye kisiwa hivyo, kama La Jiribilla [7] na Cuba Contemporánea [8], zimeandiska kuhusu tukio hilo.

Barua ya kuzindua tukio hilo inaongeza: 

Porque Revolución es cambiar todo lo que deba ser cambiado, y defendemos la idea de una sociedad anticapitalista, revolucionaria y democrática. Ven y celebra que la Ley No.116 Código de Trabajo protege por primera vez a las personas homosexuales. Ven y reclama explicación pública a la eliminación de la identidad de género y el estatus frente al VIH en la misma Ley, aunque la Asamblea Nacional lo aprobó.

En esta cita no importan el color de la piel, el género, la identidad de género, las creencias religiosas o políticas, la orientación sexual, el origen territorial, la discapacidad ni cualquier otra distinción, sino la fe en la igualdad de todas las formas de amar, formar familia, producir, comprometerse… todas las formas de HACER PATRIA.

28 de junio, pon la Revolución en un Beso.

Kwa sababu mapinduzi yanamaanisha kubadilisha kila kitu kinachopaswa kubadilihswa, na tunatetea wazo la kupingana na ubepari, tunatetea jamii ya kimapinduzi na kidemokrasia. Ungana nasi na sherehekea Sheria ya kazi No 116, ambayo kwa mara ya kwanza inalinda haki za mashoga. Njoo uombe maelezo ya kina tena kwa uwazi kuhusu kuondolewa kwa masuala ya utambulisho wa kijinsia na hali ya afya kuhusiana na maambukizi ya UKIMWI katika sheria hiyo, ingawa Bunge la Taifa halijaipitisha bado.

Siku hiyo, rangi ya ngozi yako, jinsia, utambulisho wa kijinsia, itikadi za kidini na kisiasa, hali ya kimapenzi, asili ya utaifa, ulemavu natofauti nyinginezo hazitakuwa na maana yoyote, maana kile tunachofanya ni imani katika usawa wa namna zote za mapenzi, utengenezaji wa familia, kuzaliana, kujitoa…namna zote ya KUWA WAZALENDO.

Siku ya Juni 28, leta Mapinduzi katika Kubusu

Mukhtadha ambao tukio la “Besada” linafanyika ni utekelezaji wa Sheria Mpya ya Kazi, [1]iliyoondoa mapendekezo ya  Mariela Castro Espín, mbunge wa Bunge la Cuba na shushushu maarufu wa nchi hiyo, kwamba utambulisho wa kijinsia una nia ya kuwabagua watu kwenye mazingira ya kazi. 

Waandishi kadhaa na wanablogu wameonyesha kutokuridhika [1] na matokeo ya Sheria mpya ya Kazi, ambayo ilitoka kwenye kujadiliwa mpaka kuchapishwa kwenye Gazeti rasmi la Serikali ya Cuba liitwalo Gaceta Oficial de la República de Cuba bila kupitishwa kwa mabadiliko ya mwisho. Castro Espín alijadili suala hili kwenye tovuti ya [9]Kituo cha Taifa cha Elimu ya Jinsia(Centro Nacional de Educación Sexual ‘Cenesex’), taasisi anayoingoza.

Wanachama wa Mradi wa Arcoiris walituma barua kwa Esteban Lazo Hernández, mwenyeketi wa Bunge la Taifa la nchi hiyo. Hapa chini tunakupatia waraka huo kamili:

La Habana, 23 de junio de 2014

Año 56 de la Revolución

A: Esteban Lazo Hernández

Presidente de la Asamblea Nacional del Poder Popular

Compañero:

La Gaceta Oficial de la República de Cuba acaba de publicar el texto definitivo de la Ley No.116 Código de Trabajo, y quisiéramos esclarecernos sobre los motivos de la ausencia en esta norma jurídica de elementos que muchas personas esperábamos hallar, luego de la discusión y aprobación de esta ley por nuestro máximo órgano legislativo, el cual usted preside.

Todo nuestro pueblo pudo ver por la Televisión Cubana el debate que sobre esta legislación aconteció en el Parlamento durante sus sesiones ordinarias de diciembre de 2013. Aquel análisis incluyó varias propuestas de la diputada Mariela Castro Espín, quien fue portavoz de un grupo de planteamientos hechos por trabajadores y activistas como parte del amplio proceso de consulta popular del anteproyecto de Ley.

Entre esas sugerencias estaba la inclusión de la identidad de género y el estatus frente al VIH como motivos por los cuales no resulta admisible discriminar a ningún ser humano en el ámbito laboral, dentro de los principios fundamentales que rigen el derecho al trabajo, en el inciso B del artículo 2 de ese cuerpo legal.

Miongoni mwa mapendekezo lilikuwa suala la kuingizwa kwa utambulisho wa kijinsia na hali ya afya kuhusiana na virusi vya Ukimwi kama

Sin embargo, a pesar del apoyo a esos pronunciamientos por otras diputadas y diputados, y de la intervención del primer vicepresidente cubano Miguel Díaz-Canel, quien abogó por tener en cuenta lo allí dicho y encargar esa encomienda a una comisión parlamentaria, esos dos aspectos no aparecen en la ley ahora publicada.

El asunto nos alarma no solamente porque ello implica un presunto desconocimiento de la voluntad expresa de varios integrantes de la Asamblea Nacional del Poder Popular, así como por lo grave que esto pudiera ser en relación con los principios y procedimientos democráticos que debieran regir el funcionamiento del Parlamento.

Pero incluso nos preocupa más la trascendencia humana y política de estas adiciones que fueron ignoradas sin explicación aparente, pues son las personas con una identidad de género trans las que más discriminación social y laboral sufren en nuestro país, y tampoco es un problema del todo resuelto el estigma y los prejuicios hacia las personas con VIH/sida, también en cuanto a sus capacidades profesionales y el derecho que les asiste a ejercer en cualquier tipo de empleo.

Por tanto, como ciudadanos y ciudadanas de este país, y también en nuestra condición de activistas por los derechos humanos y sexuales que defendemos la idea de una sociedad anticapitalista, revolucionaria y democrática, solicitamos una explicación pública sobre los criterios que siguió la mencionada comisión parlamentaria para excluir de la versión final de la Ley No.116 las citadas propuestas de modificación al proyecto de Código de Trabajo.

Agradecemos de antemano cualquier gestión que usted pueda realizar para responder con la mayor agilidad y total transparencia a nuestra respetuosa y cívica petición.

Saludos cordiales,

Integrantes de Proyecto Arcoíris. Colectivo LGBT, anticapitalista e independiente de Cuba.

Correo: proyectoarcoiriscuba@gmail.com [10]. Blog: http://proyectoarcoiris.cubava.cu/ [11]

                                                                                                                                                       

Havana, Terehe 23 Juni, 2014

Mwaka wa 56 wa Mapinduzi

Kwenda kwa: Esteban Lazo Hernández

Mwenyekiti wa Bunge la Taifa la Serikali ya Watu

Ndugu:

Hivi karibuni, Gazeti la Serikali ya Cuba lilichapisha kwa kina maudhui ya Sheria ya ya kazi Na 116, na tungependa kuwa wazi kuhusu sababu za kutokuwepo kwa masuala kadhaa ambayo watu wengi wanegtamani kuyaona kwenye sheria hiyo, baada ya kujadiliwa na kupitishwa kwa sheria, na chombo cha juu kabisa chenye maamuzi ya kisheria, ambacho wewe ni kiongozi.

Mji wetu wote ulitazama, kwenye televisheni ya Cuba, mjadala wa sheria hiyo ulivyokuwa unaendelea Bungeni wakati wa mikutano yake ya kawaida mwezi Desemba 2013. Uchambuzi huo mahususi ulifuatiwa na mapandekezo kadhaa kutoka kwa Mbunge Mariela Castro Espín, ambaye ni msemaji anayekutana na wafanyakazi na wanaharaki kama sehemu ya mchakato wa wazi wa ushauri wa kiutaalamu wa muswada wa sheria.

Miongoni mwa mapendekeo hayo kulikuwa na kipengele cha kuweka utambulisho wa kijinsia na hali ya afya ya Ukimwi kama sababu ambayo haikubaliki kwa binadamu kubaguliwa katika mazingira ya kazi, haki inayoangukia kwenye kanuni za msingi zinazoongoza haki za kazi, kwenye sehemu B, Ibara ya 2 ya waraka huo wakisheria.

Hata hivyo, pamoja na msaada wa matamko haya kutoka kwa Wabunge, na hatua ya makamu wa rais wa Cuba Miguel Díaz kuingilia kati, aliyetetea msimamo uliowekwa na Tume ya Bunge, mambo hayo mawili bado hayaonekani kwenye muswada wa sheria hiyo.

Suala hili linatustua, si kwa sababu tu lina maana ya kutokufahamu yaliyosemwa na baadhi ya wabunge wa Bunge la Taifa, pamoja na unyeti wa suala lenyewe linapokuja suala la misingi ya kidemokrasia na hatua linazopasa kufuatwa katika utendaji bora wa Bunge.

Kinachotupa wasiwasi ni umuhimu wa binadamu na siasa ambao tunaupuuza bila maelezo yanayoeleweka. Watu wenye kupenda mapenzi ya jinsia moja ndio ambao wamekuwa wakihusika na masuala mengi ya kijamii na ubaguz wa kikazi katika nchi yetu, na wala hatujawahi kuona unyanyapaa na hisia za ubaguzi kwa watu wanaoishi na virusi vya Ukimwi zikipatiwa majibu yake kikamilifu, na pia kuhusu uwezo wao wa kitaalam na haki ya kutafuta aina yoyote ya kazi.

Henceforth, kama raia wa nchi hii, na pia kama watu na wanaharakati wa haki za kimapenzi wanasimamia wazo la kupinga ubepari na kupigania jamii ya kimapinduzi na kidemokrasia , tunaomba maelezo kuhusu kigezo ambacho tayari kimetajwa na tume ya bunge ikifuatiwa na amri ya kutoa, kwenye toleo ya Sheria Na 11, pendekezo la kurekebisha muswada wa Sheria ya Kazi.

Tunatanguliza shukrani kwa jitihada zako katika kujibu maombi haya ya heshima na kiraia mapema na kwa uwazi unatakiwa.

Wako mtiifu,

Wanachama wa Proyecto Arcoiris. Umoja wa Mashoga na Wasagaji, Wapinga ubepari na watetezi wa Cuba.

Barua pepe: proyectoarcoiriscuba@gmail.com [10]. Blogu: http://proyectoarcoiris.cubava.cu/ [11]