Habari kutoka 20 Juni 2014
Sababu za Kuishangilia Kodivaa kwenye Kombe la Dunia
Kwenye tovuti ya LaMula.pe, Juan Carlos Urtecho anaeleza sababu zake za kuishangilia Kodivaa kwenye mpambano wa Kombe la Dunia kati ya nchi hiyo na Kolombia siku ya Alhamisi, Juni 19: Desde que les ganaron a Japón en su debut, los marfileños se han vuelto mis preferidos en este mundial. […]...
Jinsi Mabadiliko ya Hali ya Hewa Yanavyowaathiri Wakaazi wa Vijiji Nchini Benin
Mbenin, Alain TOSSOUNON, alipachika muhtasari wa ripoti kwenye blogu ya Mtandao wa Afrika Magharibi wa Waandishi wa Habari Unaohusu Maji na Usafi wa Mazingira (WASH). Ripoti yenyewe ilishughulikia tathmini ya mahitaji ya baada ya maafa nchini Benin kufuatia mafuriko makubwa ya hivi karibuni. Maafa hayo yalisababisha vifo vya karibu watu...
Watoto Wachanga 44,000 wa Madagaska Hupoteza Maisha kila Mwaka kwa Kukosa Matunzo. Tunawezaje Kukabiliana na Hali Hii?
Huduma ya afya kwa watoto nchini Madagaska hairidhishi kabisa, lakini baadhi ya mashirika yanajituma kwa kadiri ya inavyowezekana ili kukabiliana na tatizo hili la kusikitisha.