Habari kutoka 8 Juni 2014
Kijana Huyu Mwenye Asili ya Zambia Awa Mwanafunzi wa Kwanza Kuwa Mtalaam wa Kutegemewa na Microsoft
Kijana wa miaka 15 mwenye asili ya Zambia ameishangaza dunia ya teknolojia ya habari na mawasiliano kwa kuwa mmoja wa wataalam wadogo wa Microsoft barani Ulaya
Baada ya Waziri wa India Kusema ‘Wakati Mwingine Ubakaji Unakubalika’, Kampeni ya #MenAgainstRape Yavuma Nchini Pakistani
Mamia wa vijana wa kiume kutoka Pakistani wameingia mtandaoni wakifanya kampeni ya kupinga ubakaji
Tovuti 50 Zilizotembelewa Zaidi Nchini Kenya
Je, unajua ni tovuti gani maarufu zinazotembelewa zaidi nchini Kenya? Soka posti ya James Wamathai kwenye blogu yake kufahamu zaidi: Mengi yamebadilika tangu mwezi Januari, wakati nilipotoa orodha ya tovuti...
Umuhimu wa Hisabati katika Elimu
Carlos Thompson wa blogu ya Chlewey anaandika [es] juu ya umuhimu wa kufundisha Hesabu nchini Colombia kutokana na nchi hiyo kufanya vibaya kwenye vipimo ya kimataifa vya ubora wa elimu...