- Global Voices in Swahili - https://sw.globalvoices.org -

Udikteta Umekwisha Lakini Uhuru wa Habari Bado ni Tishio Nchini Myanmar

Mada za Habari: Asia Mashariki, Myanmar (Burma), Haki za Binadamu, Siasa, Uandishi wa Habari za Kiraia, Utawala, Vyombo na Uandishi wa Habari

Irrawaddy alisisitiza [1] kuendelea kwa matatizo yanayowakabili waandishi wa habari nchini Myanmar licha ya mageuzi kutekelezwa na serikali

…Licha ya mabadiliko yanayoonekana katika jinsi serikali inavyotumikia vyombo vya habari, mawazo ya msingi ni kiasi sawa kama siku za nyuma: Waandishi wamepewa “nafasi” zaidi za kufanyia kazi, lakini mipaka ya nafasi hizo bado inaamuliwa na serikali .