- Global Voices in Swahili - https://sw.globalvoices.org -

Uchaguzi wa Malawi 2014

Mada za Habari: Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara, Malawi, Siasa, Uandishi wa Habari za Kiraia, Uchaguzi

Malawi inapiga kura kumchagua rais siku ya Jumanne Mei 20, 2014. Fuatilia taarifa za moja kwa moja kwenye mtandao wa Twita @Malawi2014 [1] na @MEIC_2014 [2].