- Global Voices in Swahili - https://sw.globalvoices.org -

Trinidad na Tobago : Kutoka Serikali Moja hadi Nyingine

Mada za Habari: Nchi za Caribiani, Trinidad na Tobago, Maendeleo, Siasa, Uandishi wa Habari za Kiraia, Uchumi na Biashara, Utawala

Nchi yetu haiwezi kuendelea kuuza nje ya nchi kazi zetu, rasilimali yetu, na watu wetu wenye ujuzi kuzifadhili sera za kigeni ambazo hazijachunguzwa wala kuwekwa wazi…

Afra Raymond [1] anasema kwamba mipango ya sasa ya serikali kwa serikali ni tisho la moja kwa moja kwa masilahi ya msingi ya Trinidad na Tobago.