- Global Voices in Swahili - https://sw.globalvoices.org -

Sio Rahisi Ukiwa Mtu Mweusi Nchini Cuba

Mada za Habari: Nchi za Caribiani, Cuba, Haki za Binadamu, Safari, Sheria, Siasa, Uandishi wa Habari za Kiraia, Ubaguzi wa Rangi, Uchumi na Biashara, Uhuru wa Kujieleza, Wanawake na Jinsia

Habari mbaya kwa Wa-cuba wenye ngozi nyeusi au yenye mchanganyiko wa weusi na weupe ni kwamba hakuna taasisi huru za kisheria itawalinda kutelekezwa na serikali.

Iván anaripoti [1] kuwa watu wasio wazungu bado wanaendelea kubaguliwa nchini Cuba.