Misri, Palestina, China, India, Bangladesh, Ukraine Zashinda Katika Tuzo za Bobs

Washindi wa tuzo za The Bobs 2014 zilizoandaliwa na Deutsche Welle wametangazwa! Miradi ya mtandao kutoka Misri, Palestina, China, India, Bangladesh, Ukraine walichaguliwa kama washindi na baraza la waamuzi la kimataifa.

Miradi katika lugha 14 ilishiriki kwenye akundi ya Blogu Bora, Harakati ya Kijamii Bora, Mwenye Ubunifu Zaidi na Uhalisi na Uvumbuzi Bora, pamoja na Chaguo la Watu na tuzo mbili maalum: Tuzo la Jukwaa la kimataifa la vyombo vya habari na tuzo la Waandishi Wasiokuwa na Mipaka.

Bobs inaadhimisha mwaka wa 10 wa kuwepo mwaka huu. Global Voices ilipata tuzo ya jopo la majaji katika Blogu bora ya Pamoja katika lugha ya Kiingereza mwaka wa 2005.

Anza mazungumzo

Mwandishi, tafadhali jiandikishe »

Miongozo

  • Tafadhali wape heshima watumiaji wengine. Maoni yenye lugha ya chuki, matusi na mashambulizi binafsi hayataruhusiwa.