- Global Voices in Swahili - https://sw.globalvoices.org -

Macau: Watu 3,000 Wazunguka Baraza la Wawakilishi Kukwamisha “Muswada wa Walafi”

Mada za Habari: Asia Mashariki, Macau (China), Maandamano, Sheria, Siasa, Uandishi wa Habari za Kiraia
More than 3,000 protesters sit outside the Macau Legislative Council calling for the withdrawal of the out-going top official compensation bill, which is also known as "bill of greeds and privileges". Photo from All about Macau Facebook Page. Non-commercial use. [1]

Zaidi ya waandamanaji 3,000 wakiwa wamekaa je ya Baraza la Wawakilishi kushinikiza kufutwa kwa muswada unaopendekeza masurufu kwa vigogo wa serikali wanaoondoka madarakani, muswada unaofahamika kama “muswada wa walafi”. Picha kutoka kwenye ukurasa wa Facebook wa All about Macau. Kwa matumizi yasiyo ya kibiashara.

Taarifa zaidi zinapatikana kwenyetaarifa yetu ya awali ya GV [2].