- Global Voices in Swahili - https://sw.globalvoices.org -

Maadili na Uwazi katika Makampuni Binafsi

Mada za Habari: Uandishi wa Habari za Kiraia, Uchumi na Biashara

Watu wanazidi kudai uwazi kwa uongozi wa serikali zao. Kwa kudai uwazi, watu wanachotaka ni kuthibitisha kuwepo kwa maadili katika shughuli za serikali. Lakini, je vipi kuhusu makampuni binafsi? Ingrid Kost anadhani [1] [es] maadili ni muhimu kama tunataka ushirika endelevu:

Mahitaji ya uwazi zaidi na kuongeza uwajibikaji kwa makampuni ya kuboresha usambazaji wa habari kuhusu shughuli zao. Taarifa endelevu huonekana kama chombo ambacho hufadhili muunganiko wa kampuni na jamii ambayo inazidi kusaidia tabia yake kwenye maadili ya mazingira.

Makala yaliyopitiwa upya hapa ni sehemu ya kwanza [2]#LunesDeBlogsGV [Blogu za Jumatatu kwenye GV] Mei 5, 2014.