- Global Voices in Swahili - https://sw.globalvoices.org -

Jamaika: Alama Zinapoashiria Kikomo

Mada za Habari: Nchi za Caribiani, Jamaica, Haki za Binadamu, Harakati za Mtandaoni, Sheria, Siasa, Uandishi wa Habari za Kiraia, Vijana, Vyombo na Uandishi wa Habari, Wanawake na Jinsia

Blogu ya Active Voice [1] imetoa mkusanyiko wa twiti zenye mitazamo ya kupendekeza ufumbuzi kuhusu kampeni ya #bringbackourgirls inayodai kurudishwa kwa wasichana waliotekwa na magaidi wa Boko Haram.