Bango kwenye mtandao linalopinga tamasha la nyama ya mbwa ya Juni 21 mjini Yulin, kwenye jimbo la Guangxi. Bango linatoa wito wa kukomeshwa kwa Tamasha la Nyama ya Mbwa. Mbwa anasema: Tafadhali msitule sisi, sisi ni marafiki wa binadamu. Habari kutoka ChinaSMACK.