24 Mei 2014

Habari kutoka 24 Mei 2014

Gharama na Faida ya Kombe la Dunia Nchini Brazil

  24 Mei 2014

Blogu ya Daniel Bustos kutoka Colombia kuhusu uchumi wa Kombe la Dunia nchini Brazil na baada ya kugusia suala lisilo epukika la rushwa, inasema: Hatimaye, Brazil itatumika kama “panya” kwa mataifa ya Amerika ya Kusini ambayo yalikuwa na ndoto kuwa siku moja itaandaa tukio hili kubwa, itatumika kuuliza kama Brazil...

Colombia: Watoto 32 Wafariki Kwenye Mkasa wa Moto

  24 Mei 2014

Vyombo ya habari Colombia vinaripori [es] vifo vya watoto 32 uliosababishwa na moto katika basi, katika kitongoji cha Fundación mjini Magdalena, Kaskazini mwa Colombia. Tukio hilo la kutisha lilitokea Jumapili mchana, Mei 18, 2014. Hata kama ukweli bado unachunguzwa., Kuna uvumi kwamba gari lilikuwa linasafirisha petroli kimagendo. Rais wa Colombia...

Jumuiya ya Kimataifa na Mgogoro wa Ukraine

  24 Mei 2014

guest blogs [es] ya Angie Ramos [es] katika Tintero kuhusu mgogoro wa kisiasa nchini Ukraine na baada ya kuchambua mambo mbalimbali muhimu husika anahitimisha kwa majibu ya Jumuiya ya Kimataifa: Jambo ni, jumuiya ya kimataifa, inayokabiliwa na kesi kama hii, hufanya vitendo watakavyo kwa kuwa inategemea ukubwa wa maslahi yanayoshiriki...

Mashindano ya Kublogu ya AFKInsider

AFKInsider imeandaa mashindano ya kublogu ambapo mwanablogu bora kila mwezi atahitajika kuandika hadithi ya kulipiwa kila wiki kwa AFKInsider mwezi ujao: Mashindano ya wanablogu ya AFKInsider inanuia kugundua ubunifu wa wanablogu wa Biashara Afrika ambao huandika na wana nia ya teknolojia, kilimo, ujasiriamali, mali isiyohamishika, burudani, siasa, madini na habari...

Ethiopia: #FreeZone9Bloggers Yavuma Kwenye Mtandao wa Tumblr

  24 Mei 2014

Global Voices Advocacy ilianzisha mtandao wa Tumblr mapema mwezi Mei kutafuta uungwaji mkono kwa wanablogu tisa na waandishi wa habari – ambao wanne kati yao ni wanachama wa Global Voices – ambao kwa sasa wako kizuizini nchini Ethiopia shauri ya kazi zao. Washirika kutoka duniani kote waliwasilisha picha, ujumbe wa...