Habari kutoka 17 Mei 2014
Wanawake na Matumizi ya Mamlaka ya kisiasa
EnGenerada anauliza [es] wasomaji wake kama wana kile wanahitaji kutumia nguvu ya kisiasa. Kila siku, tunasoma, kusikia, na kusema maneno: “Siasa ni chombo cha mageuzi ya jamii”. Mawazo yetu yanapokomaa,...
Video ya Dakika 5, Yaweza Kuwa Tiketi Yako ya Kwenda Mjini New York
Muungano wa Ustaarabu wa Umoja wa Mataifa (UNAOC) inawaalika vijana chini ya umri wa miaka 25 kuwasilisha video walizozitengeneza wenyewe zenye urefu wa dakika 5 juu ya uhamiaji, tofauti na...
Maktaba na Utamaduni Huru
Blogu kutoka Parque Biblioteca Tomás Carrasquilla – La Quintana, huko Medellin, Colombia, inaelezea [es] msaada wake kwa utamaduni huru. Baada ya kueleze namna ya kuleta utamaduni wa uhuru [es], blogu...
Kutana na Joshua Beckford Aliyehudhuria Chuo Kikuu cha Oxford Akiwa na Umri wa Miaka 6
Blogu ya Omg Ghana iliripoti kuhusu mafanikio bora ya kielimu ya Joshua Beckford: Katika umri wa miaka 8, wewe pengine ulikuwa unafanya mazoezi ya michezo au ulikuwa ukifanya maandalizi ya kujiunga...
Maadili na Uwazi katika Makampuni Binafsi
Watu wanazidi kudai uwazi kwa uongozi wa serikali zao. Kwa kudai uwazi, watu wanachotaka ni kuthibitisha kuwepo kwa maadili katika shughuli za serikali. Lakini, je vipi kuhusu makampuni binafsi? Ingrid...
Udikteta Umekwisha Lakini Uhuru wa Habari Bado ni Tishio Nchini Myanmar
Irrawaddy alisisitiza kuendelea kwa matatizo yanayowakabili waandishi wa habari nchini Myanmar licha ya mageuzi kutekelezwa na serikali …Licha ya mabadiliko yanayoonekana katika jinsi serikali inavyotumikia vyombo vya habari, mawazo ya...
Mazungumzo ya GV: Kupigania Kuachiliwa Huru kwa Wanablogu wa Ethiopia wa Zone 9

Wanablogu tisa ikiwa ni pamoja na waandishi wa habari ---wanne wao wakiwa ni wanachama wa Global Voices ---wanashikiliwa nchini Ethiopia kwa sababu ya kutekeleza majukumu yao. Fahamu namna ya kuunga mkono kampeni ya #FreeZone9Bloggers!
‘Hali Mbaya’ ya Haki za Binadamu Nchini Vietnam
Mtandao wa haki za Binadamu illitoa ripoti yake ya 2013 kuhusu ‘hali mbaya’ ya haki za binadamu nchini Vietnam: …. Hali ya haki za binadamu nchini Vietnam iligeuka na kuwa...