- Global Voices in Swahili - https://sw.globalvoices.org -

Video Inayoonyesha jinsi Marekani Iliangusha Mabomu ya Tani Milioni 2.5 Nchini Laos

Mada za Habari: Asia Mashariki, Laos, Historia, Mahusiano ya Kimataifa, Vita na Migogoro

Mother Jones alipakia video [1] ambayo inaiga utupaji mabomu 600 [2] uliofanywa na Marekani nchini Laos kati ya mwaka wa 1965 hadi 1973 wakati wa zama za Vita ya Vietnam.