- Global Voices in Swahili - https://sw.globalvoices.org -

Utani Mitandaoni: Siku ya Wajinga Nchini Ethiopia

Mada za Habari: Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara, Ethiopia, Harakati za Mtandaoni, Uandishi wa Habari za Kiraia, Vyombo na Uandishi wa Habari

Wa-Ethiopia kwenye mtandao wa twita wanasherehekea siku ya wajinga duniani kwa kutangaza habari bandia ambazo zinaiga uongo unaotangazwa na vyombo vya habari vya serikali. Raia mmoja wa Ethiopia anayetwiti: “Wanatangaza uongo wa mchana siku 365 za mwaka, ngoja twarudishie dozi ya kuwatosha yenye habari za uongo kadri tunavyoweza”. Wafuatilie ili kujua kinachoendelea kwenye kupitia #ETvDay [1].