- Global Voices in Swahili - https://sw.globalvoices.org -

Utafiti wa Wenyeji katika Chuo cha Bahamas

Mada za Habari: Nchi za Caribiani, Bahamas, Elimu, Habari za wenyeji, Siasa, Uandishi wa Habari za Kiraia

Akifuatilia posti yake kuhusu “ujinga wa kupunguza bajeti kwa Chuo cha Bahamas”, Blogworld [1] anasema:

Si tu kwamba chuo hicho ni taasisi ya taifa ya elimu ya juu, lakini ndio taasisi pekee ya umma kwa wenyeji ambayo inahusiana na aina yoyote ya utafiti unaoendelea katika nchi ya Bahama.